Wanyama Wenye Uti wa Mgongo ni kitabu kilichojaa maarifa na Ujuzi kuhusu makundi ya wanyama wajulikanao kama mamalia, reptilia, amfibia, samaki na ndege. Wanajulikana kwa: -Kuwa na vichwa -Kuwa na milango ya fahamu na Ubongo - Kuwa na uti wa Mgongo -Kuwa na mfumo wa Mifupa -Kuwa na Mzunguko wa damu -Kuwa na jinsi